KCSE Past Papers 2013 Kiswahili Paper 3 (102/3)
5.2.3 Kiswahili Paper 3 (102/3) FASIHI SIMULIZI l. (a) Maana ya Vitanza Ndimi Vitanza ndimi ni virai/vishazi au sentensi zenye sauti zinazokaribiana au zinazofananaโ kimatamshi na ambazo hutatiza rntu kuzitamka. Aghalabu huundwa kwa vitate, vitawe, au hata kurudia maneno yalc yalc katika scntensi. Kwa mfano: (i) Wali huliwa na mwana wa liwali.Asiyekuwa mwana wa liwali hali wali. (ii) Wali huliwa na wanawali, wasio wanawali hawali wali. (iii) Shirika la reli la Rwanda lililiathiri lile la reli la Kenya. (iv) Mzee aliyevaa koti lililo๏ฌka gotini alianguka akaumia goti kisha koti lake lenye ku๏ฌka magotini likachanika. (alama 2) (b) Majukumu ya Vitanza ndimi (i) Kumzoesha mtoto/mtu kuzitamka sauti au maneno vizuri. (ii) Ni nyenzo ya burudani. Vikao vya mashindano ya utamkaji hutumiwa kuwachangamsha wanajamii. (iii) Msingi wa kumsaidia mtolo kujua lugha kwa undani. Huundwa kwa vitate au vitawe, hivyo mtu hujifunza vipengele hivi vya lugha. (iv) Husaidia kuimarisha uwezo wa kimawasiliano wa anayehusika. Utamkaji wa vitanza ndimi kwa kasi humzocsha mzungumzaji kuweza kuwasilisha hoja bila kusitasita. (v) Huendeleza utamaduni. Jinsi wanajamii wanavyoshirikishwa katika utamkaji ndivyo wanavyorithishwa utamaduni wao au dcsturi yenycwe ya kushiriki katika utamkaji. (vi) Hujcnga stadi ya ukakamavu. Kadiri mtu anavyoshiriki katika utamkaji ndivyo anavyoimarisha ujasiri wake wa kuzungumza hadharani. (vii) Huibua ucheshi na kudumisha uhusiano mwema. Utani unaoibuliwa katika mashindano ya utamkaji ni msingi wa kujenga uhusiano. (viii) Hukuza ubunifu. Wanajamii huweza kubuni vitanza ndimi hapohapo, wakavitamka. (ix) Ni kitambulisho cha jamii. Kila jamii ina vitanza ndimi vyake vinavyohusu mazingira yake. (x) Hukuza utangamano katika jamii. Vikao vya mashindano ya utamkaji huwaleta wanajamii pamoja hivyo kujihisi kuwa kundi moja. Tanbihi Kuonya/kushauri – baadhi hufumbata maonyo/ushauri. Kwa mfano, Mzaha mzaha huzaa usaha. (6 x 1 = 6)c. Utazamaji wa kushiriki au kutoshiriki. Mtu anaweza kushiriki katika kikao cha utamkaji wa vitanza ndimi, hivyo kujua vinavyoendelezwa katika jamii husika. Video. Mtu anaweza kupiga picha za video watu wakitalmka/wakishindana katika. utamkaji wa vitanza ndimi ili kuja kuchanganua baadaye. Matumizi ya hojaji. Mtu anaweza kuandaa maswali katika hojaji ili kudadisi kwa mfano, kama vipo katika jamii fulani, wanaohusika katika vikao vya utamkaji na uundaji wake. Kurekodi kimaandishi (kuandika) ili kuvirithisha au hata kuvichanganua baadaye. Majadiliano ya vikundi lengwa, Mta๏ฌti anaweza kutcua vikundi, kwa mfano, vijana,i1i kuchunguza namna wanavyoviunda na kuvitamka, na athari ya vitanza ndimi hivi kwao. Mahojiano Mta๏ฌti anaweza kuandaa mahojiano rasmi na kundi / sampuli lengwa ili kuchunguza kwa mfano, majukumu ya vitanza ndimi katika jamii husika Matumizi ya vinasa sauti na sidii ili kunasa utamkaji wenyewe na kuchanganua sifa zake. Kutumia kumbukumbu ya mta๏ฌti mwenyewe. Uta๏ฌti ambaye in mmoja wapo wa wanajamii katika eneo analofanyia uta๏ฌti anaweza kurithisha yale anayokumbuka baada ya kuyashuhudia. Kusoma majarida na vitabu (maktabani) vyenye habari kuhusu vitanza ndimi. (6 x 2 = 12)Hoja zifafanuliwe ili kupata alama kamili. Utengano: Said A. Mohamed 2. a) Ni shairi analolikumbuka (Inspekta) Fadhili katika diwani yake: Kilio cha Wanyonge. Au: Ni maneno ya Fadhili Katika diwani yake : Kilio cha Wanyange. ~ Yumo nyumbani (sebuleni)mwa Maksuudi. Alikuwa ameitwa na Maksuudi. Ameyaona mabadiliko (fanicha) katika sebule ya Maksuudi ndipo akakumbuka haya.(4 x l = 4) Tanbihi Dondoo limetolewa uk. 71 – 72 Kinaya – Wafanyakazi kufanya kazi kwa bidii lakini wanalala njaa Sitiari – Njaa kufananishwa moja kwa moja na msumeno. Taswira – Picha ya watu wakimenyeka/wakiteseka. Picha ya msumemo ukikeketa matumbo. Jazanda – Msumeno ni jazanda ya njaa inaydwaumiza raia. ยป(2 x 2 = 4) c. Wakulima wanalima lakini mapato hawayapati Rejelea maneno ya Shoka (Uk. 113). Wanyonge kuandamwa na magonjwa (uk. 72). Wakulima wanapunjwa; wageni k.v Marekani ndio wanaodhibiti bei za mazao. Maimuna, Dora na wenzake danguroni kwa Mama Jeni – wanashiriki ukahaba lakini mapato yanamwendea Mama Jeni. Maimuna anatumiwa na Bili Sururu kama kivutio cha walevi. Biti Sururu anamtazama na kusema kimoyomoyo atawafaa (UK.95). Anawaambia walevi amepata kisura. Kazi kwa Biti Surum inamfanya Maimuna kudhoo๏ฌka kiafya. Wazazi k.v Mama Dora anamtelckeza kwa kumuuza kwa Mama Jeni. Dora anakuwa kahaba. Dhuluma katika ndoa – Tamima kutawishwa, kupigwa – Mwanasururu na kutalikiwa na Maksuudi. Dhuluma katika malezi – Maimuna kutawishwa, Maksuudi kukinyima kitoto chake na Tamima malezi ya mama na kusababisha kifo. Wanawake kubaguliwa katika eiimu. Maimuna anasomeshewa nyumbani ilhali Mussa amesoma hadi chuo kikuu. Maimuna kutumiwa kama chombo cha kuzalisha pesa pale Rumbalola – mapato yanamwendea mwingine. Maksuudi kumpokonya Mwanasumru mali na kumfanya kuishia kuwa mwendawazimu. Wizi/unyakuzi wa mali ya umma. Maksuudi kunyakua shamba la Via – kina Haji wanaishia kuwa maskini wanaomtcgcmea. Maksuudi kuwatesa wanyonge, anauza sahihi yake; anamtaka mke wa Mzee Japu kulipa shiilingi 200 kwa sahihi yakc tu (Uk. 78). Mwanasururu anamtaka Kabi kutenda yasiyofaa na baadaye kusababisha kukzxi”-.. .. kwa mguu wake. Biti Kocho na Farashuu wanamtorosha Maimuna na kumwingiza kwenyc mtandao wa ufasiki / ukahaba.Tanbihi a) Farashuu anamuumbua Maimuna mbele ya mchumba wake – Kabi. Anamwita mhuni na mchafu (uk.l68) Raia wametekelezwa kwenye ujinga na umaskini. Maazimio ya baada-uhuru. kuto๏ฌkiwa (uk. 72). Kazija anashirikiana kimapenzi na Mussa ambaye ana umri mbichi, kwa nia ya kumtenganisha Mussa na babake. Anaishia kumfanya kupigwa na baba yake. โ Anawatenganisha. Farashuu – kumenyeka kazini, mwanawe Mwanasururu kudhulumiwa, mazingira duni, n.k. Maksuudi – baada ya kifungo, kupoteza asilimia kubwa ya mali yake, kupoteza hadhi, kuumbuliwa na Maimuna pale Rumbalola, ukiwa unaomwandama baada ya kusambaratika kwa familia yake, kipigo na ugonjwa, Tamima kukataa kumsamehe, nk.(a)ย Mnyonge anaweza kufasiriwa kwa namna zufuatazo: Maskini Asiye na mamlaka kisiasa Anayehitaji msaada Mwenye umri mdogo kuliko mwingine Aliye katika hali fulani, kama vile ugonjwa Mwana kwa mzazi Wafanyakazi(b)ย Kumenyeka kunaweza kumaanisha: Utangulizi kuteseka kudhulumiwa/kunyimwa haki kuaibika kuto๏ฌkia maazimio kutengwa na familiautangulizi Wahusika na maudhui huchangiana kujenga kazi ya sanaa. Wahusika huteuliwa kuendeleza maudhui. Matendo yao ni msingi wa maudhui. Nayo maudhui hujumuisha matukio au hali zinazowaathiri wahusika. Tabia za wahusika huathiriwa na hali au matukio yanayowazunguka a)Shoka Anaendeleza maudhui ya ukoloni. Anapinga hali ya wafanyakazi kuzalisha mali bila kufaidika. Anaonyesha ukosefu wa uwajibikaji katika ndoa. Anamwachia Sclume mzigo wa malezi. Anaendeleza uozo wa kijamii (usherati) kwa kuhusiana na Maimuna kimapenzi. Anaendeleza ukandamizaji wa wanawake. Anamwambia Selume hatamwacha talaka, anamwachia ulimwengu umtimbe. Anaonyesha matumizi mabaya ya vileo. Pesa zake
KCSE Past Papers 2013 Kiswahili Paper 3 (102/3) Read Post ยป