September 8, 2022

Uncategorized

KCSE Past Papers 2016 Kiswahili Paper 2 (102/2)

Kenya Certificate of Secondary Education 2016 Kiswahili Karatasi ya 1 Lugha 1 UFAHAMU: (Alama 15) Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali. Ulimwengu unatakiwa kuzua mbinu za kulitatua tatizo la ufukara ambao ni kikwazo kikuu cha juhudi za maendeleo. Ufukara unayakabili mataifa mengi yanayoendelea na kuyatosa kwenye shida nyingi huku mataifa ya magharibi yakizidi kupiga hatua

KCSE Past Papers 2016 Kiswahili Paper 2 (102/2) Read Post »

Uncategorized

KCSE Past Papers 2016 Kiswahili Paper 1 (102/1)

Kenya Certificate of Secondary Education 2016 Kiswahili Karatasi ya 1 Lugha 1 Lazima Wewe ni katibu wa kamati inayochunguza jinni ya kupambana na tatizo sugu la dawa za kulevya. Andika ripoti ukitoa mapendekezo ya kamati. 2 “Utalii una faida nyingi kuliko madhara nchini Kenya.” Jadili. 3 Andika insha inayobainisha maana ya methali’: Chombo cha kuzama

KCSE Past Papers 2016 Kiswahili Paper 1 (102/1) Read Post »

Uncategorized

KCSE Past Papers 2017 Kiswahili Paper 3 (102/3)

Kenya Certificate of Secondary Education 2017 Fasihi Karatasi ya 3 Sehemu A: Fasihi Simulizi Lazima (20 marks) Sama utungo ufuatao kisha ujibu maswali. Walikuja mahasidi, ah, walikuja Nyayo zao zikirindima, ah rindima Kwa ghamidha ya uadui, 00 uadui Wali Wakibeba sime Wali wakibeba mata Wali Wakibeba mienge ya moto kutangazia kwao kuwasili Walikuja kwa ndimi

KCSE Past Papers 2017 Kiswahili Paper 3 (102/3) Read Post »

Uncategorized

KCSE Past Papers 2017 Kiswahili Paper 2 (102/2)

Kenya Certificate of Secondary Education 2017 Kiswahili Karatasi ya 2 Lugha UFAHAMU: (Alama 15) Soma kifimgu kifilatacho kisha ujibu maswali. “Asante baba, asante mama,” akasema Bahati jioni moja baada ya chajio, “Sijui ilitokeaje kukawa na Waru Wanaothamini binadamu Wenye mahitaji maalumu katika jamii hii. Sitawauliza mlichofanya kunikinga na hukumu ya ukoo ya kuniangamiza; hayo mtakuja

KCSE Past Papers 2017 Kiswahili Paper 2 (102/2) Read Post »

Uncategorized

KCSE Past Papers 2017 Kiswahili Paper 1 (102/1)

Kenya Certificate of Secondary Education Kiswahili – Insha 1. Lazima Shirika la kigeni la Tugawane limeanzisha kiwanda cha kutengenezea matofali katika eneobunge Ienu. Mwandikie barua Mhariri wa Gazeti la Mzalendo ukitoa maoni yako kuhusu faida na changamoto zinazoweza kutokana na mradi huu. 2. Andika insha kuhusu umuhimu wa mwanafunzi kujiunga na vyama mbalimbali shuleni._ 3.

KCSE Past Papers 2017 Kiswahili Paper 1 (102/1) Read Post »

Uncategorized

KCSE Past Papers 2018 Kiswahili Paper 2 (102/2)

Kenya Certificate of Secondary Education Kiswahili UFAHAMU (Alama 15) Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali. “Mabibi na mabwana, ndugu wapenzi, alianza Bi. Mkesha, “huu ni mwaka wa tano tangu tufanye uchaguzi mkuu uliowapa vigoda wenzetu hawa. Katika kipindi hiki kumetokea mengi ya kujipigia kidari, pametokea pia mengi, mengi mabaya ya kuitia jamii ya Tungama izara.

KCSE Past Papers 2018 Kiswahili Paper 2 (102/2) Read Post »

Uncategorized

KCSE Past Papers 2018 Kiswahili Paper 1 (102/1)

Kenya Certificate of Secondary Education Kiswahili – Insha 1. Lazima Wewe ni katibu wa chama cha Walinda mazingira Wasio na mipaka shuleni mwenu.Andika kumbukumbu za mkutano uliofanyika kujadili suala la uharibifti wa mazingira katika shuleni. 2. “Udanganyifu katika mitihani haumwathiri mwanafunzi tu, bali pia jamii yake.’ Fafanua. 3. Tunga kisa kitakachodhihirisha maana ya inethali ifuatayo:

KCSE Past Papers 2018 Kiswahili Paper 1 (102/1) Read Post »

Uncategorized

KCSE Past Papers 2019 Kiswahili Karatasi ya 3 (102/3)

Kenya Certificate of Secondary Education Kiswahili – Fasihi Karatasi ya 3 SEHEMU A: RIWAYA A. Matei: Chozi la Heri 1. Lazima (a) “Sasa haya ameyapa kisogo … kufunguliwa kwa kituo hiki ni kama mana iliyomdondokea kinywani kutoka mbinguni.” (i) Eleza muktadha wa dondoo hili. (alama 4) (ii) Bainisha tamathali mbili za usemi ambazo zimetumiwa katika

KCSE Past Papers 2019 Kiswahili Karatasi ya 3 (102/3) Read Post »

Uncategorized

KCSE Past Papers 2019 Kiswahili Karatasi ya 2 (102/2)

Kenya Certificate of Secondary Education Kiswahili Karatasi ya 2 UFAHAMU (Alama 15) Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali. Kijiji chetu kilikuwa kimeanza kuingiwa na wasiwasi. Katika kipindi cha miaka michache iliyopita tulikuwa tumewapoteza watu kadha na hakuna aliyeelewa kiini hasa cha majanga haya. Wazee walisikika wakisemezana kwa sauti za chini. Hatukujua hasa walichosema lakini ilikuwa

KCSE Past Papers 2019 Kiswahili Karatasi ya 2 (102/2) Read Post »

Scroll to Top